Thursday, November 20, 2014

Episod 7 Play Girl; Story ya mahaba yenye kusisimua


 ..:

Ilipoishia

...John
 akapigiwa simu lakini hakupokea
 alichoniambia nipokee halafu
 niweke 'laudi spika' kwakuwa
 yeye anendesha gari,
 "..halow.."
 "..vipi mpenzi wangu J uko wapi?
 Mi niko kwako hapa...

Sasa endelea...
 Hasira kali zialikuwa zimenishika ukichanganyia na
 wivu niliokuwa nao wa ghafla, na hivi tena simu
 nilikuwa nimeishikilia mwenyewe huku
 nimemuwekea 'laudi spika' John aongee, nilijikuta
 naikata ile simu nakumkunjia sura John huku
 mdomo na sura yangu nikivikunja kisha..
 "..John, embu niweke wazi..! Huyo uliokuwa
 unaongea naye kwenye simu ni nani..?"
 "..mh mh huyo ni dada yangu, mtoto wa Mama
 yangu mkubwa, anaitwa Jescar.."
 "..aaah Jescar enh, eti mtoto wa Mama mkubwa..?
 Kwahiyo nyie huko Pemba mtoto wa Mama mkubwa
 anaweza kuwa mpenzi wako si ndio..?"
 "..kwani ameniita mpenzi..?"
 "..yaani mara hii unageuka nakujifanya hujui kitu
 kabisaaa.."
 "...wee elewa hivyo tu na uamini, kama angekuwa
 ni mchumba wangu si ningeshakwambia..?"
 John alianza kukasirika huku akiongea kwa sauti
 mule ndani ya gari nakunifanya niwe mpole kama
 sijui kitu..
 Ndani ya nusu saa tulikuwa tumeshafika kinondoni
 mkwajuni na John alikuwa mtu wa kwanza kushuka
 huku akienda upande wa pili wa mlango
 nakunifungulia kama vile mtoto wa malkia..
 Ilitubidi tupaki gari mbali kidogo na kwake kani
 msongamano wa nyumba ulivyokuwa umekaa bila
 kupangiliwa ulitufanya tutembee kidogo mpaka
 kwenye chumba chake,
 Kulikuwa ni uswahilini haswa japokuwa tulipoingia
 tu ndani nilisahau kila kitu nakujiona kama vile
 nyumbani kwa Jerry kuna kachumba kamoja,
 "..karibu Tina na jisikie uko nyumbani.."
 "..nashukuru, usijari, vipi huyo dada yako yuko
 wapi sasa mbona hata hatujamkuta..?"
 "...aaah yule mambo mengi, sema wewe humjui
 tu, atakuwa kasubiri kidogo kajiondokea zake, haya
 chumbani na sebuleni kwangu ndio hapahapa,
 sasa wacha mi nikupishe ubadilishe nguo ukaoge
 si uliniambia kuwa una..."
 Kabla hajamalizia kuongea nikamuwahi,
 "..nikwambie kitu John..?"
 "..nimeghairi wala hata siendi kuoga, kwanza
 nawaogopa majirani zako, embu ona walivyokaa
 huko nje.. Ah ah mi sitaki..."
 Nilimkatalia John maksudi huku akili yangu yote
 nikielekezea jinsi nitakavyomtega mpaka anifanye..
 "...John, embu niambie kweli mchumba wako yuko
 wapi..?"
 "..wallah tena, bado hata sijaoa na wala sina kwa
 sasa.."
 "...ila kwa sasa ukipata unaoa..? Maana mie naskia
 nyie wapemba mnachaguliwa mke wakuoa, na
 unaoa mpemba mwenzako..?"
 "...mh kwa hilo sijaliwahi kulisikia hata.."
 "..ok, kwahiyo hata mie unaweza kunioa.."
 Nilimuhoji kimtego huku akionesha kama
 kupagawa, kwani mua wote tuliokuwa tunaongea,
 nilikua nikimrembulia huku nikipandisha gauni
 langu juu nakuachia mapaja yote wazi,
 "...John, unapenda mwanamke bikra..?"
 Japokuwa swali hilo wasichana wengi huwa
 wanaogopa kuwauliza wanaume, kwangu Tina mie
 ilikuwa tofauti kabisa, nilijivika moyo wa kijasiri
 ukichanganyia na u 'play gal' niliokuwa nao ndio
 usiseme kabisaa..
 "..hiyo ipo wazi, kwani sisi wapemba mwanamke
 utakayemtoa bikra ndio huyo huyo utakayemuoa.."
 "...hivyo tu..?"
 "..yeah ndio hivyo.."
 "..nikwambie kitu John.."
 Nikaanza kumdekea nakumlegezea jicho kana
 kwamba labda ameshakuwa mume wangu wa
 ndoa..
 "..niambie kitu gani tena.."
 "..am virginity gal..(mimi ni msichana bikra..)"
 "..unasema kweli Tina..?"
 "..basi ni faraja kwa bro Jerry kwani atakuwa
 amepata mwamamke safi aliyetulia na mwenye
 kujali usichana wake.."
 "..simtaki huyo kaka yako, kwanza yeye ni rafiki
 yangu wakaribu kwakuwa tunafanya naye kazi pale
 'airport'.."
 "..unasema kweli Tina..? Dah kwa jinsi ulivyokuwa
 unamlilia nakuwa karibu naye mie nikadhania
 labda ni mtu wake.."
 Niliona kama ananichanganya kuendelea kupiga
 stori za kaka yake, nilichokifanya nilivua nguo
 zangu nakubakiwa na bikini tupu huku maziwa
 yangu yakiwa wazi kwani tiyari nilishaivua sidiria
 nakuitupia kwenye kochi..
 "..haya John nipo tayari nitoe bikra sasa hivi
 mwenzako natamani unitoe wewe.."
 "..unasema kweli Tina..?"
 "..kweli, nimeitunza sana na wala sijawahi
 kutembea na mwanaume yeyote maishani
 mwangu.."
 Kabla hata sijamalizia kumwambia, nilishangaa
 John akifungua mlango nakutoka haraka haraka,
 "..Tina, nipe dakika 2 narudi sasa hivi.."
 Alitoka na nisijue hata anaenda wapi huku
 akiniacha pale chumbani kwake peke yangu,
 niliichukuwa simu yake nakuanza kuitafuta ile
 namba iliyopiga saa ile hadi akanidanganya ni
 dada yake..
 "..mshenzi mkubwa, na atakiona leo,na nalala
 hapa hapa.."
 Nilijisemea kimoyo moyo huku nikijiongelea
 mwenyewe baada ya kuigundua kuwa ile ni namba
 ya rafiki yangu kabisaa Aisha sikukasirika sana
 kwani tayari nilikuwa nina uhakika wa ku sex..
 Ndani ya muda mchache John alikuwa amesharudi
 huku mkononi kashika kondomu..
 "..John, si nimeshakwambia mie bikra..? Sasa hiyo
 mikondomu yako yanini sasa..? Embu tupa
 kulee..."
 Nilichukuwa zile kondomu nakuzitupia chini, kisha
 nikavuta vijimikanda vya ile bikini yangu
 ikafunguka nakubakiwa uchi kabisa kama
 nilivzozaliwa...
 Muda wote huo John alikuwa kazubaa huku
 anatolea macho kifua changu kilichokuwa na
 chuchu ndogo utadhani kweli ni kabinti..
 "..Tina, naruhusiwa kuyashika shika.."
 "..wewe tu wala hata usijari, lakini uyashike
 taratibu kwani mwenzako ni mara yangu ya kwanza
 hivyoo..."
 Aliyashika maziwa yangu kisha akachukuwa mdomo
 wake nakutoa ulimi akautelezesha mbele ya
 chuchu zangu nakunifanya mwili wote unisisimke..
 "..nikwambie kitu John.."
 "..yeah niambie tu Tina.."
 "..pliz pliz mie bikra na usinisababishie maumivu
 pliz hivyo nakuomba uingize kichwa tu jamani.."
 John alinielewa kisha akavua ile boxer yake
 nakusex na mie alifanyak kama nilivyokuwa
 nimemwambia alijikuta ananogewa nakudumbukiza
 yote, pale pale nikambadilikia...
 "..nimeshakwabia ukiingiza yote utaniumiza ona
 sasa nasikia maumivu sitaki tena tutafanya siku
 nyingine.."
 Nikazivaa nguo zangu huku nikimwacha John
 akiduwaa..
 "..haya vaa turudi hospitali tukamuone Jerry.."
 "...Tina no no nipe mwenzio nina hamu.."
 "..kwasasa sipo tayari tena na nguo
 nimeshazivaa.."
 "..usijari nitakusaidia kukuvua.."
 "...Jeff mie naogopa sana mwenzio kusalitiwa
 katika mapenzi.."
 "..wallah, haitakuja kutokea Tina.."
 "..hivi unajua ni wanaume wangapi nimewakataa
 kisa hii bikra yangu..."
 Nilimkazia macho John kisha nikamuonea huruma
 nakumvulia nguo tena kwa mara ya pili huku
 nikitoa machozi bandia kana nina bikra kweli...
 "..John taratibu pliz pliz.."
 John alinivaa nakuanza kusex, mwanzoni alifanya
 taratibu tenaj kwa juu juu lakini aliponogewa
 aliingiza kwa nguvu tena yote..
 "..John John enough is enough, naskia maumivu
 sana na nahisi bikra kama inataka kutoka.."
 "..no no nakupromise tuache kwanza twende
 tukamuangalie Jerry hospitali na tukitoka huko
 tunarudi kuendeleaj mpaka asubuhi sawa John.."
 John alifurahia nakuvaa nguo zake haraka haraka
 na kupanda gari kwenda hospitali..
 ***
 Umati wa wanawake bado ulizidi kumzunguka
 Jerry, kwa kipindi hiki aliweza kutoa macho na
 kuangaza huku na kule..
 Nilikuwa namdekea John huku kila saa mikono
 yangu ikiwa mabegani kwake kwa makusudi ili
 kumkomesha Jerry..
 Tulipomaliza kumuangalia Jerry tuliingia kupata
 chakula kisha tukaelekea kwake kinondoni...
 John alikuwa anashauku ya ajabu alikuwa
 akiendesha gari kwa kasi ya ajabu na hiyo yote
 nikuwahi kufika tu huko kwake na aweze kunitoa
 bikra..
 "..angejua bikra yenyewe hata aliyenitoa
 nimeshamsahau..!"
 Nilijisemea kimoyo moyo huku nikiendelea
 kumtolea jicho John aliyekuwa 'bize' kwa
 kuendesha gari..
 "..Nimesahau kukwambia John, mwenzio kesho
 asubuhi sana ninakipindi.."
 "..hilo tu wala usijari kabisa, hapa tuna gari ya
 bro, ntakuwaisha asubuhi asubuhi, sema kingine
 mammii..."
 John aliongea kwa kujiamini.
 Haikuuchukuwa muda sana tukawa tumeshafika
 kwake, hakukuwa na sehemu yakulaza gari, hivyo
 aliliachia kwa mbali kidogo, halafu tukatembea
 mpaka kwake., njia nzima John alikuwa ni
 wakunishika mara mabegani, mara mikono sijakaa
 vizuri akanishika nywele zangu.
 Kwakuwa tulishakula hivyo tulipoingia tulijifungia
 ndani kisha...
 "..John nakuomba ukanitayarishie maji nioge.."
 John hakuweza kukataa kwani ndani ya muda
 mfupi alikuwa tayari mtumwa wa mapenzi na kila
 nilichotaka alikuwa yupo tayari, haraka haraka
 akatoka nje kwenda kunitayarishia maji,aliporudi
 tu nikaanza kumletea pozi..
 "...haya nibebe mpaka bafuni.."
 "..aaah acha hizo basi..!"
 "..John unasemaje..? Kama hutaki kunibeba sikupi
 bikra yangu.."
 John alikuwa mdogo ghafla akanisogelea nakunipa
 mgongo wake ili anibebe..
 "..haya panda basi.."
 "..aha haa haa John hutaniwi mpenzi..? Nilikuwa
 nakutania mwenzio.."
 Nikachukuwa kopo la kuogea nakuongoza mpaka
 bafuni kuoga, nilijisafisha vizuri kila kona na
 nilipotoka John naye alienda kuoga nakuniacha
 chumbani kwake peke yangu..
 "..yani leo simuachi mpaka nimuambukize tu kama
 alivyonifanyia kaka yake japokuwa bado sijapima.."
 Nilijisemea peke yangu huku nikichukuwa hela
 kwenye kipochi changu nakukimbia mpaka nje
 kwenye kiduka kununua 'tomato sauce' tena ile
 inayotumikaga kwenye chipsi..
 Niliificha nakuingia mpaka ndani kwa John napo
 nikamkuta bado hajatoka bafuni hivyo nikaifungua
 nakuiweka chini ya uvungu..
 John alitoka bafuni na hapo hapo nikamuwahi
 taulo lake huku nikimfuta futa kuanzia 'garden
 love' lake mpaka mapajani mwake kisha nikaifuta
 nanilii yake..
 "..nzuuuri.." nikaibusu nakuanza kuinyonya
 taratibu tena kwa pozi zote huku John akiishiwa
 nguvu nakujitupa mpaka kitandani..
 "..John nikwambie kitu..?"
 "..yap sema sweetie.."
 "..embu zima taa yako, mwenzako naona aibu ndo
 mara yangu ya kwanza leo.."
 John alinielewa nakukimbilia mpaka kwenye kitasa
 nakuzima taa kisha akaanza kunipapasa kifuani
 mwangu nakuanza kuninyonya tumbo langu mpaka
 maeneo yakitovuni mwangu.,
 Kiukweli sikusikia nyege zozote kwani nilikuwa
 sugu kwenye haya mambo hivyo nilijilegeza
 kiuzushi ili nimfurahishe John..
 Giza lilikuwa limetanda haswa,
 "..no no John, usiingize vidole vyako bwana,
 utanitoa bikra kwa maumivu pliz pliz.."
 Hapo hapo nikamvuta John kwa nguvu mpaka
 kifuani kwangu..
 "..John taratibu pliz usinifanye kama mchana,
 bikra ni yako, itoe taratibu bwana.."
 John alianza kuingiza nanii yake huku nikimbania
 mapaja kana kwamba nina bikra kweli..
 John akiwa ndo kwanza ananifanya tena kwa juu
 juu tu bila kuingiza yote, nikatumia mwanya huo
 huo kuvuta ile chupa ya 'tomato sauce' uvunguni
 kwa kutumia mkono mmoja kisha nikaimwagia
 kwenye kiganja changu nakuisambaza kwenye
 nanii yangu..
 Nikamsikilizia ile John anaingiza yote tu hapo
 hapo nikamsukuma nakuanza kulia..
 "..nilikwambia John, ona sasa ninavyoumia,
 umeshanitoa bikra, sina tena bikra na ole wako
 unisaliti au usinioe John.."
 John alienda kuwasha taa haraka haraka kisha
 akakunja sura yake huku ananikaripia..
 "..mpumbavu mkubwa wee, ushanichafulia shuka
 unajua bei yake wew..?"
 "..John, mbona umenibadilikia hivyo ghafla.. Basi
 kesho nitakufulia hizo shuka zako.."
 "..mie ndio kidume cha mbegu, kama bikra
 nishaitoa, kukuoa sahau, unahadhi yakuwa na
 mimi wewe.."
 "..ndio mana nilikuwa sitaki unitoe bikra yangu,
 nyie wanaume nawajua sana.."
 "..embu toka toka, nenda hostel kwenu ukajifutie
 mijidamu damu yako hiyo, tokaaaa.."
 John alinifukuza kama mbwa vile, nikavaa nguo
 zangu nakuchukuwa kimkoba changu mpaka nje,
 "..John utanikumbuka siku moja.."
 "..akukumbuke nani wewe, niache kukumbukwa
 Pemba na wachumba zangu eti nikukumbuke
 wewe.."
 Nilijichekea moyoni huku nikijifanya nalia
 nakutoka mpaka nje huku nikimwacha John peke
 yake, nilipofika tu kituoni nikachukuwa simu yangu
 nakutuma meseji kwa John..
 '...John mpenzi, angalia chini ya uvungu wa
 kitanda chako,
 Kama ulidhani umenitoa bikra hapa umechemsha,
 nakifupi tu, NIMESHAATHIRIKA...
 ************

:: Ni kweli anayoyasema Tina kuwa
 ameshaathirika?
 :: John atafanyaje baada ya kufanyiwa mchezo
 mchafu huo??
 :: Na vipi kuhusu Jerry? UNavyodhani Tina anaweza
 kuja kugundulika??
 :

Itaendelea

Diamond - Nitampata wapi. WIMBO WA SIKU

LUKAZA BLOG: Diamond - Nitampata wapi. WIMBO WA SIKU

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...