Friday, May 10, 2013

POLISI WAUA MTOTO WA MIAKA 9 KWA RISASI HUKO TARIME; PICHA INATISHA HIVYO TUNAOMBA RADHI




Haya ndiyo yaliyofanyika tarime jana mtoto wa miaka 9 kuuuwa na jeshi la polisi kwa uzembe eti wanawakamata majambazi ambao si wale wanaoiba na kuuwa watu mpaka mwa Tanzania na Kenya kashuhudie mwenyewe uone .Hata hivyo unaowaona ni wananchi waliochoka wakianadamana huku wamebeba kwenye machela mwili wa marehe Deo Ykob mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Mturu mjini Tarime hapa nimelishuhudia hili.

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...