Friday, May 10, 2013

MGOMO WA DALADALA WAZUKA IRINGA ASUBUHI YA LEO NA KUSABABISHA WANANCHI KUTEMBEA KWA MIGUU KUELEKEA MAKAZINI KWAO. PICHA NA MATUKIO HAYA HAPA







Mgomo  wa  daladala  umeanza  kwa  kasi katika mji  wa Iringa baada ya daladala  zote  kugoma  kufanya kazi na  kupelekea  wananchi  kutembea kwa miguu  kwenda makazini na  wanafunzi  kuchelewa katika  vituo kwenda mashuleni.


Hali  hiyo ya mgomo  imeanza  kutikisha  na kufanya  polisi  kuingilia kati  kuwatuliza  madereva  wasigome jitihada  zinazoendelea  hadi  sasa.

mtandao  huu  wa www.francisgodwin.blogspot.com ambao upo eneo la tukio kwa  sasa  eneo ;a kihesa  umeendelea  kushuhudia machungu ya mgomo  huo

Hata  hivyo usafiri  unaofanya kazi ni bajaji  ,pikipiki na Taxi ambapo nauli  kwa kichwa katika bajaji  Tsh. 3000 wakati Taxi kwa kila kichwa Tsh 1000
 
 
PICHA ZOTE KWA HISANI YA FRANCISS GODWIN BLOG

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...