Tuesday, April 16, 2013

RIHANA AFANYA SHEREHE AKIWA UCHI WA MNYAMA, BOFYA NA UONE PICHA HIZO






Katika hali ya kustaajabisha sana msanii anayemake headline katika muziki wa Kidunia ajulikanaye kama Rihanna, ametinga katika party ijulikanayo kama Annual Kadooment Day celebration huko Barbados sehemu ambayo alizaliwa, katika party hiyo Rihanna aliamua kufanyia sherehe hiyo mtaani huku akiwa uchi kama picha na zinavyoonekana.....Tazama picha mwenyewe ujionee dunia ilivyoisha

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...